URUKAJI WA VIKWAZO CBCTC NAMTUMBO ULIVYOMSHANGAZA KATIBU MKUU MALIASILI Скачать

Отправить друзьям
Добавить
  • 24 июн. 2018 г.

  • JUMLA ya vijana 55 wamehitimu kozi ya miezi mitatu ya Askari wanyamapori vijijini(VGS) katika chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii(CBCTC) kilichopo Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ambayo ni namba 63 ya mwaka 2018 alikuwa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Generali Gaudence Milanzi. Moja ya mambo ambayo yamemvutia zaidi Katibu Mkuu huyo ni ukrukwaji wa vikwazo ambao umeoneshwa na vijana waliohitimu ambapo amesema tukio hilo ni la aina yake kufanywa na vijana hao ambao wamepata mafunzo ya miruko hiyo ndani ya wiki mbili tu.

Комментарии